Lyrics

Harmonize – Never Give Up LYRICS

Download never give up mp3

Never Give Up Lyrics

Aii ooh no Ooh Lord have mercy Iyee iyee eeh eeh Konde boy Let me tell you my story Nimezaliwa Mtwara Tanzania Huko kijijini Chitoholi Hapa mjini nimezamia Ndoto zilikuwa kucheza boli Mara ghafla kwa muziki zikahamia My daddy am sorry  Swala tano kupenda uliposikia Kama utani si nikaanza kuimba Mungu si Athumani nikakutana na Simba Akanipiga company japo kuna walo pinga Kwamba sina kipaji ‘Ninakupenda malaika’ ‘Malaika’ ‘…umeuharibu sana huo wimbo’ ‘Ulikuwa unafanya mazoezi nnje hapo eeh’ ‘Ndio’ ‘Nilikusikia, nilishakupa NO tangia mwanzoni’ ‘NO, make me sing’ Fitina za ndani ndani mara ‘Harmo’ anavimba Atapendwa na nani? Mmakonde wa Tandahimba Nikajipa imani ipo siku nitashinda Maana Mola ndo mpaji Eeeh Now I make my paper(my paper) And I bless my family Pole walonicheka(nicheka) Enzi navaanga kanda mbili So Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up! Never, Never, Never Usikate tamaa maana Mungu anakuona  Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up! Never, Never, Never Usikate tamaa, hangaika kila kona (Konde! Konde! Konde!) I remember Mama told me my boy Binadamu hawana wema Watakuchekeaga usoni Ukiwapa kisogo wanakusema Usihifadhi chuki moyoni Yalipe mabaya kwa mema Jifanye hukumbuki huyaoni Ndo maandiko yanavyosema Nilimtanguliza Mungu kwa Swala Mara ghafla kaja mzungu Sarah Ah, thank you my beiby  You love me, you support me  I love you too Shout out to my nigga Jose wa Mipango Jabulanti, Choppa, I got love for you Mnyama Mkali, Budda na Mcha Jambo Waambie tunapita so mikono juu Najua maisha safari, mimi bado sijafikaga Long way to go Ila naiona afadhali, kulala uhakika Na kula sio ka before Debe kwa Azizi Ali, Mbaghala, Tandika  Kimara na Kariakoo Ghetto na kibatari, kiangazi masika Ikaja mvua vyote vyako Now I make my paper(my paper) And I bless my family Pole walonicheka(nicheka) Enzi navaanga kanda mbili So Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up! Never, Never, Never Usikate tamaa maana Mungu anakuona  Never, Never, Never Never, Never, Never, Give up! Never, Never, Never Usikate tamaa, hangaika kila kona (Cheering) Oh My God, its Spencer (Cheering)

Trending Songs:
    None Found

Be the first to comment and win airtime

Back to top button